Kutana na wataalamu, wakereketwa, na wadau wa Kiswahili toka sehemu mbalimbali Duniani. Utafurahi kutangamana na Waswahili wengine na kuwa sehemu ya familia kubwa ya wasemaji wa Kiswahili Duniani! Mada kuu ni "Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine: Dira ya Mustakabali." Jioni ya tarehe 16 Disemba kutakuwa na tamasha kubwa la Utamaduni wa Mswahili ambapo watu wote wanakaribishwa, hata wale ambao hawakushiriki katika kongamano.
Wasemaji Wakuu
Taarifa za wasemaji wakuu (watoa mada-elekezi) wa CHAUKIDU Arusha 2023 zitawekwa hapa zitakapokuwa tayari.

Msemaji wa Kwanza
Prof. Jina Jina

Msemaji wa Pili<span data-metadata="">
Prof. Jina Jina

Msemaji wa Tatu<span data-metadata="">
Prof. Jina Jina

Msemaji wa Nne<span data-metadata="">
Prof. Jina Jina
Ungependa kuwa mmoja wa wawasilishaji katika kongamano hili?
Kama jibu lako ni ‘ndiyo’ basi tutumie ikisiri yako sasa. Taarifa na zaidi na mwito wa ikisiri zinapatikana kwa kubofya kitufe kilichopo hapo chini.
