Skip to content
CHAUKIDU Arusha 2023
  • MASKANI
  • KUHUSU
  • TAARIFA
    • MS-TCDC
    • Hoteli na Malazi
  • RATIBA
  • WASEMAJI
  • PICHA
  • MAWASILIANO
Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine
December 14, 2023 - December 16, 2023
9:00 am - 10:00 pm
MS-TCDC, Arusha, Tanzania

Kutana na wataalamu, wakereketwa, na wadau wa Kiswahili toka sehemu mbalimbali Duniani. Utafurahi kutangamana na Waswahili wengine na kuwa sehemu ya familia kubwa ya wasemaji wa Kiswahili Duniani! Mada kuu ni "Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine: Dira ya Mustakabali." Jioni ya tarehe 16 Disemba kutakuwa na tamasha kubwa la Utamaduni wa Mswahili ambapo watu wote wanakaribishwa, hata wale ambao hawakushiriki katika kongamano.

Jisajili Sasa Jiunge na CHAUKIDU

Workshop (Warsha) Students

  • August 16, 2023
Awaiting product image

$10.00

Category: Ada ya Kongamano
  • Description

Description

Ikiwa wewe ni mwanafunzi na ungependa kushiriki katika warsha itakayofanyika tarehe 14 Disemba, tafadhali lipia ada hii.

Related products

  • Placeholder

    Conference Student East Africa – Non-Members

    $40.00
    Add to cart
  • Sale! Placeholder

    Conference Regular Diaspora – Members

    $155.00 Original price was: $155.00.$150.00Current price is: $150.00.
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Regular Africa – Members

    $65.00
    Add to cart
  • Sale! Placeholder

    Ziara (Tour)

    $15.00 Original price was: $15.00.$10.00Current price is: $10.00.
    Add to cart
Recent Posts
  • Hoteli na Malazi
  • Ijue MS-TCDC
  • CHAUKIDU: Chama Kinachokipa Kiswahili Hadhi ya Kidunia
  • Kuwa Mwanachama wa Chaukidu Uungane na Wadau Wengine Duniani
  • Rais: CHAUKIDU Kiwaunganishe Wadau wa Kiswahili Toka Kada Mbalimbali
Recent Comments
    Archives
    • August 2023
    • June 2023
    Meta
    • Register
    • Log in
    • Entries feed
    • Comments feed
    • WordPress.org
    Recent News
    • Hoteli na Malazi August 15, 2023
    • Ijue MS-TCDC June 3, 2023
    • CHAUKIDU: Chama Kinachokipa Kiswahili Hadhi ya Kidunia June 1, 2023
    • Kuwa Mwanachama wa Chaukidu Uungane na Wadau Wengine Duniani June 1, 2023
    • Rais: CHAUKIDU Kiwaunganishe Wadau wa Kiswahili Toka Kada Mbalimbali June 1, 2023
    Categories
    • Taarifa za Jumla (5)
    Kipi cha kutarajia?

    Jinsi Kiswahili kinavyoendelea kupata nguvu, ndivyo pia fursa ziambatanazo na lugha hiyo zinavyoongezeka. Ukiwa sehemu ya wadau wakuu wa lugha hii unapata fursa ya kuzitambua fursa hizo kwa urahisi zaidi.

    Archives
    • August 2023 (1)
    • June 2023 (4)
    Calendar
    June 2026
    M T W T F S S
    1234567
    891011121314
    15161718192021
    22232425262728
    2930  
    « Aug    

    Kuhusu Arusha 2023

    CHAUKIDU imeshafanya makongamano mengi. Ila Kongamano hili la 2023 ni kongamano la kipekee. Kongamano hili ni la nane na linafanyikia kaskazini mwa Tanzania na katika makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kusudi kuu la CHAUKIDU kuleta Kongamano hili Arusha ni ni kuitangazia dunia umuhimu wa Kiswahili kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Kwanini Ushiriki?

    Kuna faida nyingi sana za kushiriki makongamano ya CHAUKIDU, hasa hili la Arusha. Unapata fursa ya kutangamana na wadau wengi wa Kiswahili toka nchi mbalimbali. Kwa kongamano hili la kitaaluma, mwanataaluma yeyote anaweza kufaidi mengi. Kwa wale wasio wanataaluma au walioko katika taaluma tofauti na Kiswahili, bado watakutana na wadau wa taaluma za.

    Taarifa Muhimu

    • Hoteli na Malazi August 15, 2023
    • Ijue MS-TCDC June 3, 2023
    • CHAUKIDU: Chama Kinachokipa Kiswahili Hadhi ya Kidunia June 1, 2023
    © CHAUKIDU 2023