Skip to content
CHAUKIDU Arusha 2023
  • MASKANI
  • KUHUSU
  • TAARIFA
    • MS-TCDC
    • Hoteli na Malazi
  • RATIBA
  • WASEMAJI
  • PICHA
  • MAWASILIANO
Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine
December 14, 2023 - December 16, 2023
9:00 am - 10:00 pm
MS-TCDC, Arusha, Tanzania

Kutana na wataalamu, wakereketwa, na wadau wa Kiswahili toka sehemu mbalimbali Duniani. Utafurahi kutangamana na Waswahili wengine na kuwa sehemu ya familia kubwa ya wasemaji wa Kiswahili Duniani! Mada kuu ni "Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine: Dira ya Mustakabali." Jioni ya tarehe 16 Disemba kutakuwa na tamasha kubwa la Utamaduni wa Mswahili ambapo watu wote wanakaribishwa, hata wale ambao hawakushiriki katika kongamano.

Jisajili Sasa Jiunge na CHAUKIDU

Ada ya Kongamano

Showing 1–16 of 17 results

  • Sale! Placeholder

    Conference Registration – Student Non-Members

    $10.00 – $65.00Price range: $10.00 through $65.00
    View products
  • Sale! Placeholder

    Conference Registration Regular – Members

    $10.00 – $150.00Price range: $10.00 through $150.00
    View products
  • Sale! Placeholder

    Conference Registration Regular- Non-Members

    $10.00 – $195.00Price range: $10.00 through $195.00
    View products
  • Sale! Placeholder

    Conference Registration Student – Members

    $5.00 – $55.00Price range: $5.00 through $55.00
    View products
  • Placeholder

    Conference Regular Africa – Members

    $65.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Regular Africa – Non-Members

    $85.00
    Add to cart
  • Sale! Placeholder

    Conference Regular Diaspora – Members

    $155.00 Original price was: $155.00.$150.00Current price is: $150.00.
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Regular Diaspora – Non-Members

    $195.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Regular East Africa – Members

    $55.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Regular East Africa – Non-Members

    $80.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Student Diaspora – Non-Members

    $65.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Student East Africa – Members

    $30.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Student East Africa – Non-Members

    $40.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Conference Student Out of East Africa – Members

    $55.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Workshop (Warsha) Regular

    $15.00
    Add to cart
  • Placeholder

    Workshop (Warsha) Students

    $10.00
    Add to cart
  • 1
  • 2
  • →

Kuhusu Arusha 2023

CHAUKIDU imeshafanya makongamano mengi. Ila Kongamano hili la 2023 ni kongamano la kipekee. Kongamano hili ni la nane na linafanyikia kaskazini mwa Tanzania na katika makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kusudi kuu la CHAUKIDU kuleta Kongamano hili Arusha ni ni kuitangazia dunia umuhimu wa Kiswahili kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Kwanini Ushiriki?

Kuna faida nyingi sana za kushiriki makongamano ya CHAUKIDU, hasa hili la Arusha. Unapata fursa ya kutangamana na wadau wengi wa Kiswahili toka nchi mbalimbali. Kwa kongamano hili la kitaaluma, mwanataaluma yeyote anaweza kufaidi mengi. Kwa wale wasio wanataaluma au walioko katika taaluma tofauti na Kiswahili, bado watakutana na wadau wa taaluma za.

Taarifa Muhimu

  • Hoteli na Malazi August 15, 2023
  • Ijue MS-TCDC June 3, 2023
  • CHAUKIDU: Chama Kinachokipa Kiswahili Hadhi ya Kidunia June 1, 2023
© CHAUKIDU 2023